Yer. 48:11 SUV

11 Moabu amestarehe tangu ujana wake, naye ametulia juu ya sira zake, wala hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine, wala hakwenda kufungwa; kwa hiyo ladha yake anakaa nayo, wala harufu yake haikubadilika.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:11 katika mazingira