Yer. 48:28 SUV

28 Enyi mkaao Moabu, iacheni miji,Enendeni kukaa majabalini;Mkawe kama njiwa afanyaye kioto chakeKatika ubavu wa mdomo wa shimo.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:28 katika mazingira