Yer. 49:13 SUV

13 Kwa maana nimeapa kwa nafsi yangu, asema BWANA, kwamba Bozra utakuwa ajabu, na aibu, na ukiwa, na laana; na miji yake yote itakuwa ukiwa wa daima.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:13 katika mazingira