Yer. 49:16 SUV

16 Katika habari za kuogofya kwako,Kiburi cha moyo wako kimekudanganya,Wewe ukaaye katika pango za majabali,Ushikaye kilele cha milima;Ujapofanya kioto chako juu sana kama tai,Nitakushusha kutoka huko; asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:16 katika mazingira