Yer. 49:18 SUV

18 Kama vile vilivyotokea wakati wa kuangushwa Sodoma na Gomora, na miji iliyokuwa karibu nayo, asema BWANA; hapana mtu atakayekaa huko, wala hapana mwanadamu atakayekaa huko kama mgeni akaavyo.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:18 katika mazingira