Yer. 49:21 SUV

21 Nchi yatetemeka kwa sauti ya kuanguka kwao;Kuna kilio, sauti yake yasikiwa katika Bahari ya Shamu.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:21 katika mazingira