Yer. 49:23 SUV

23 Habari za Dameski.Hamathi umetahayarika, na Arpadi pia;Maana wamesikia habari mbaya;Wameyeyuka kabisa;Huzuni iko baharini, haiwezi kutulia.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:23 katika mazingira