Yer. 49:29 SUV

29 Hema zao na makundi yao watayatwaa; watachukulia mbali mapazia yao kwa faida yao wenyewe, na vyombo vyao vyote, na ngamia zao; nao watawapigia kelele wakisema, Hofu ziko pande zote.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:29 katika mazingira