Yer. 49:4 SUV

4 Mbona unajisifu kwa sababu ya mabonde, bonde lako litiririkalo, Ee binti mwenye kuasi? Utumainiaye hazina zako, ukisema, Ni nani atakayenijilia?

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:4 katika mazingira