Yer. 49:7 SUV

7 Habari za Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hapana tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:7 katika mazingira