Yer. 5:3 SUV

3 Ee BWANA, macho yako je! Hayaangalii uaminifu? Umewapiga, lakini hawakuhuzunika; umewakomesha, lakini wamekataa kurudiwa wamefanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba wamekataa kurudi.

Kusoma sura kamili Yer. 5

Mtazamo Yer. 5:3 katika mazingira