Yer. 5:5 SUV

5 nitawaendea watu wakubwa, nami nitasema nao; kwa maana hao wanaijua njia ya BWANA, na hukumu ya Mungu wao. Bali hawa kwa nia moja wameivunja nira, na kuvikata vifungo.

Kusoma sura kamili Yer. 5

Mtazamo Yer. 5:5 katika mazingira