28 Sauti yao wakimbiao na kuokoka,Kutoka katika nchi ya Babeli,Ili kutangaza Sayuni kisasi cha BWANA, Mungu wetu,Kisasi cha hekalu lake.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:28 katika mazingira