Yer. 50:37 SUV

37 Upanga u juu ya farasi zao, na juu ya magari yao ya vita; na juu ya watu wote waliochanganyika ndani yake, nao watakuwa kama wanawake; upanga u juu ya hazina zake, nazo zitaibwa.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:37 katika mazingira