Yer. 51:11 SUV

11 Inoeni hiyo mishale; zishikeni ngao kwa nguvu; BWANA ameziamsha roho za wafalme wa Wamedi; kwa sababu shauri lake ni juu ya Babeli auangamize; maana ni kisasi cha BWANA, kisasi cha hekalu lake.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:11 katika mazingira