Yer. 51:17 SUV

17 Kila mtu amekuwa kama mnyama, hana maarifa;Kila mfua dhahabu amefedheheshwa na sanamu yake ya kuchonga;Maana sanamu yake ya kuyeyuka ni uongo,Wala hamna pumzi ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:17 katika mazingira