Yer. 51:23 SUV

23 na kwa wewe nitamvunja-vunja mchungaji na kundi lake; na kwa wewe nitamvunja-vunja mkulima na jozi yake ya ng’ombe; na kwa wewe nitawavunja-vunja maliwali na maakida.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:23 katika mazingira