Yer. 51:25 SUV

25 Tazama, mimi ni juu yako, Ee mlima uharibuo, asema BWANA; wewe uiharibuye dunia nzima; nami nitaunyosha mkono wangu juu yako, na kukufingirisha chini toka majabalini; nami nitakufanya kuwa mlima ulioteketezwa.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:25 katika mazingira