Yer. 51:33 SUV

33 Kwa maana BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi; Binti Babeli amekuwa kama sakafu ya kufikichia wakati wa kukanyagwa kwake; bado kitambo kidogo na wakati wa mavuno utafika kwake.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:33 katika mazingira