Yer. 51:44 SUV

44 Nami nitafanya hukumu juu ya Beli katika Babeli, nami nitavitoa katika kinywa chake alivyovimeza; wala mataifa hawatamwendea tena; naam, ukuta wa Babeli utaanguka.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:44 katika mazingira