Yer. 51:46 SUV

46 Wala isizimie mioyo yenu, wala msiiogope habari itakayosikiwa katika nchi; maana habari itakuja mwaka mmoja, na baadaye mwaka wa pili habari itakuja, na udhalimu katika nchi, mwenye kutawala akishindana na mwenye kutawala.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:46 katika mazingira