Yer. 52:13 SUV

13 Akaiteketeza nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme; na nyumba zote za Yerusalemu, naam, kila nyumba kubwa aliiteketeza kwa moto.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:13 katika mazingira