Yer. 52:15 SUV

15 Kisha Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawachukua wafungwa baadhi ya watu waliokuwa maskini, na mabaki ya watu walioachwa katika mji, nao wale walioasi na kumkimbilia mfalme wa Babeli, nao mabaki ya vibarua.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:15 katika mazingira