Yer. 52:25 SUV

25 na katika mji akatwaa towashi mmoja aliyewasimamia watu wa vita; na watu saba katika wale waliouona uso wa mfalme, walioonekana katika mji; na karani wa jemadari wa jeshi, aliyewaandika watu wa nchi; na watu sitini katika watu wa nchi, walioonekana ndani ya mji.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:25 katika mazingira