Yer. 52:30 SUV

30 katika mwaka wa ishirini na tatu wa Nebukadreza, Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawachukua mateka katika Wayahudi watu mia saba na arobaini na watano; jumla ya watu hao wote ni watu elfu nne na mia sita.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:30 katika mazingira