Yer. 52:34 SUV

34 Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme wa Babeli; kila siku alipewa posho hata siku ya kufa kwake, siku zote za maisha yake.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:34 katika mazingira