Yer. 6:19 SUV

19 Sikia, Ee nchi; tazama, nitaleta mabaya juu ya watu hawa, naam, matunda ya mawazo yao, kwa sababu hawakuyasikiliza maneno yangu; tena kwa habari ya sheria yangu, wameikataa.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:19 katika mazingira