Yer. 6:21 SUV

21 Basi, kwa hiyo, BWANA asema hivi, Tazama, nitaweka makwazo mbele ya watu hawa, na baba na wana wao watajikwaa pamoja; jirani ya mtu na rafiki yake watapotea.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:21 katika mazingira