Yer. 6:4 SUV

4 Takaseni vita juu yake; inukeni, na tupande juu wakati wa adhuhuri. Ole wetu, kwa kuwa mchana umeanza kupungua, vivuli vya jioni vinazidi kuwa virefu.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:4 katika mazingira