Yer. 6:6 SUV

6 Maana BWANA wa majeshi asema hivi, Jikatieni miti, mfanyize boma juu ya Yerusalemu. Mji huu ni mji unaojiliwa; dhuluma tupu imo ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:6 katika mazingira