Yer. 6:8 SUV

8 Uadhibishwe, Ee Yerusalemu, nafsi yangu, isije ikafarakana nawe; nisije nikakufanya ukiwa, nchi isiyokaliwa na watu.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:8 katika mazingira