26 Lakini hawakunisikiliza, wala kutega sikio lao; bali walifanya shingo yao kuwa ngumu; walitenda mabaya kuliko baba zao.
Kusoma sura kamili Yer. 7
Mtazamo Yer. 7:26 katika mazingira