Yer. 7:28 SUV

28 Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya BWANA, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao.

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:28 katika mazingira