30 Maana wana wa Yuda wametenda yaliyo maovu machoni pangu, asema BWANA; wameweka machukizo yao ndani ya nyumba hiyo, iitwayo kwa jina langu, hata kuitia unajisi.
Kusoma sura kamili Yer. 7
Mtazamo Yer. 7:30 katika mazingira