Yer. 7:32 SUV

32 Basi angalieni, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo katika siku hizo halitaitwa tena Tofethi, wala Bonde la mwana wa Hinomu bali litaitwa, Bonde la Machinjo; maana watazika watu katika Tofethi, hata hapatakuwapo mahali pa kuzika tena.

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:32 katika mazingira