Yer. 7:34 SUV

34 Ndipo katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu, nitaikomesha sauti ya kicheko na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi; kwa maana nchi hiyo itakuwa ukiwa.

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:34 katika mazingira