Yer. 8:12 SUV

12 Je! Walitahayarika, walipokuwa wametenda machukizo? La! Hawakutahayarika, wala hawakuweza kuona haya usoni; basi wataanguka miongoni mwao waangukao; wakati wa kujiliwa kwao wataangushwa chini, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:12 katika mazingira