Yer. 8:14 SUV

14 Mbona tunakaa kimya? Jikusanyeni, tukaingie ndani ya miji yenye maboma, tukanyamaze humo kwa maana BWANA, Mungu wetu, ametunyamazisha, naye ametupa maji yenye uchungu tunywe, kwa sababu tumemwasi BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:14 katika mazingira