Yer. 8:16 SUV

16 Kutoka Dani kumesikiwa mkoromo wa farasi zake; nchi yote pia inatetemeka kwa sauti ya mlio wa farasi zake za vita; maana wamekuja, wamekula nchi na vyote vilivyomo; huo mji na wote wakaao ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:16 katika mazingira