Yer. 8:9 SUV

9 Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la BWANA, wana akili gani ndani yao?

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:9 katika mazingira