Yer. 9:10 SUV

10 Kwa milima nitalia na kulalama,Na kwa malisho ya nyikani nitafanya maombolezo;Kwa sababu yameteketea, hata hapana apitaye,Wala hapana awezaye kusikia sauti ya ng’ombe;Ndege wa angani, na wanyama wa mwituni,Wamekimbia, wamekwenda zao.

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:10 katika mazingira