19 Maana sauti ya maombolezo imesikiwa toka Sayuni,Jinsi tulivyotekwa!tulivyofadhaika sana!Kwa sababu tumeiacha nchi,kwa kuwa wameangusha makao yetu.
Kusoma sura kamili Yer. 9
Mtazamo Yer. 9:19 katika mazingira