Yer. 9:23 SUV

23 BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake;

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:23 katika mazingira