Yos. 10:13 SUV

13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:13 katika mazingira