Yos. 10:14 SUV

14 Haikuwapo siku nyingine mfano wa siku hiyo katika siku zilizotangulia mbele yake wala katika hizo zilizoandama baada yake, hata ikawa yeye BWANA kuisikia sauti ya binadamu; kwa kuwa BWANA alipiga vita kwa ajili ya Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:14 katika mazingira