Yos. 11:10 SUV

10 Yoshua akarudi wakati huo na kuutwaa Hazori, akampiga mfalme wa Hazori kwa upanga; kwa kuwa Hazori hapo kwanza ulikuwa ni kichwa cha falme hizo zote.

Kusoma sura kamili Yos. 11

Mtazamo Yos. 11:10 katika mazingira