Yos. 11:11 SUV

11 Nao wakawapiga wote pia waliokuwamo ndani ya Hazori kwa makali ya upanga, wakawaangamiza kabisa; hakusazwa hata mmoja aliyevuta pumzi; kisha akauteketeza Hazori kwa moto.

Kusoma sura kamili Yos. 11

Mtazamo Yos. 11:11 katika mazingira