Yos. 11:13 SUV

13 Lakini katika habari ya miji hiyo iliyosimama katika vilima vyao, Israeli hawakuipiga moto miji hiyo, isipokuwa ni mji wa Hazori tu; mji huo Yoshua aliupiga moto.

Kusoma sura kamili Yos. 11

Mtazamo Yos. 11:13 katika mazingira