Yos. 12:5 SUV

5 naye alitawala katika mlima wa Hermoni, na katika Saleka, na katika Bashani yote, hata mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na nusu ya Gileadi, mpaka wa huyo Sihoni mfalme wa Heshboni.

Kusoma sura kamili Yos. 12

Mtazamo Yos. 12:5 katika mazingira