Yos. 12:6 SUV

6 Musa mtumishi wa BWANA na wana wa Israeli wakawapiga; naye Musa mtumishi wa BWANA akawapa Wareubeni, na Wagadi, na nusu ya kabila ya Manase iwe urithi wao.

Kusoma sura kamili Yos. 12

Mtazamo Yos. 12:6 katika mazingira